• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Upendo: Utimilifu wa Sheria(Swahili Edition): Utimilifu wa Sheria(

Upendo: Utimilifu wa Sheria(Swahili Edition): Utimilifu wa Sheria(

Paperback

Christian Living

Publisher Price: $13.00

ISBN13: 9791126312252
Publisher: Urim Pubn
Published: Oct 19 2023
Pages: 210
Weight: 0.53
Height: 0.44 Width: 5.50 Depth: 8.25
Language: Swahili

Neno 'Sheria' linatokana na neno la Kiebrania 'Torah', ambalo maana yake ni 'maagizo', na 'somo'. Torah kwa kawaida linarejelea Pentatuki (vitabu vitano vya Biblia) vinavyojumuisha Amri Kumi. Lakini, Sheria pia linerejelea vitabu 66 vya Biblia kwa jumla, au yale maagizo ya Mungu anapotuambia cha kufanya, cha kutofanya, cha kuweka, au kutupilia mbali mambo fulani. Huenda watu wakafikiria kwamba Sheria na upendo havihusiani, lakini haviwezi kutenganishwa. Upendo ni wa Mungu, na pasipo kumpenda Mungu hatuwezi kuifuata Sheria kikamilifu. Sheria inaweza kutimizwa tu tunapoifuata kwa upendo.

Also from

Lee, Jaerock

Also in

Christian Living