• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Ujumbe wa Msalaba (Swahili Edition)

Ujumbe wa Msalaba (Swahili Edition)

Paperback

Christian Living

Publisher Price: $15.00

ISBN13: 9791126312269
Publisher: Urim Pubn
Published: Oct 19 2023
Pages: 314
Weight: 0.78
Height: 0.66 Width: 5.50 Depth: 8.25
Language: Swahili
Sikuelewa siri ya ndani ya majaliwa ya uumbaji wa Mungu na siri iliyofichika katika msalaba miaka kadhaa ya mwanzo wa maisha yangu ya ukristo. Baada ya kuitwa kuwa mtumishi wa injili, nilianza kujiuliza, Ninawezaje kuwaongoza watu katika njia ya wokovu na nikamtukuza Mungu? Nikatambua kuwa ninapaswa kuielewa Biblia ikiwa ni pamoja na vifungu vigumu kuvielewa kwa msaada wa Mungu mwenyewe na kuvihubiri ulimwenguni kote. Nilifunga na kuliombea hili mara nyingi kadri nilivyoweza. Miaka saba ilipita kabla Mungu hajaanza kunifunulia.

Also from

Lee, Jaerock

Also in

Christian Living