Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine
Paperback
Please select the version of book you would like to purchase.
ISBN10: 9966011579
ISBN13: 9789966011572
Publisher: Lightning Source Inc
Published: Mar 4 2022
Pages: 186
Weight: 0.98
Height: 0.40 Width: 8.50 Depth: 11.00
Language: English
ISBN13: 9789966011572
Publisher: Lightning Source Inc
Published: Mar 4 2022
Pages: 186
Weight: 0.98
Height: 0.40 Width: 8.50 Depth: 11.00
Language: English
This book is in Swahili Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja mawazo, hisia na fikra za waandishi mahiri kuhusu jamii. Ni juhudi za kuakisi ukweli wa hali halisi ilivyo na kuchorea msomaji taswira kamili kuhusu madhila ya uongozi, njaa, madawa ya kulevya na mahusiano ya kijamii; kwa ujumla yaliyodorora. Wakati huo huo, wanamzidua juu ya mabadiliko; kuu likiwa kupatikana kwa katiba mpya. Waandishi basi hawakuzungumzia madhila tu ila wanapendekeza jinsi suluhu ya baadhi ya matatizo inavyoweza kupatikana. Tashtiti, maswali ya balagha na tashbibi zilizoshamiri katika nyingi za hadithi hizi zinadhihirisha uchungu, kero, dhiki na kiu ya waandishi; msumo wa kutaka kuhusika na kujihusisha na kupatikana kwa jamii bora. Wanaamini haya ndio matamanio ya wasomaji na jamii kwa jumla. Bwana Sanja Leonard L, mhariri wa diwani hii ni mwandishi wa hadithi fupi, riwaya, tamthilia na mashairi. Kazi zake ya fasihi zilizochapishwa ni pamooja na Yasinya, Zinguo la Mzuka, Mimba Ingali Mimba na Kasalia. Hizi za mwisho mbili ni hadithi fupi. Kwa sasa anahitimisha masomo ya shahada ya juu katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. This is a collection that brings together the ideas, feelings and thoughts of brilliant writers about society. It is an effort to reflect the reality of reality and to paint the reader a complete picture of the consequences of leadership, hunger, drugs and social relations; generally declining. At the same time, they are pushing him to change; the main being the availability of a new constitution. The authors then not only addressed the issue but also suggested how a solution to some of the problems could be found. Rhetorical questions in many of these stories express the bitterness, annoyance, distress and thirst of the writers; the urge to get involved and to get involved and to find a better society. They believe this is the desire of readers and society as a whole. About author
Mr. Sanja Leonard L, editor of this council is a writer of short stories, novels, plays and poems. Her published works include Yasinya, Ghost Dress, Pregnancy and Kasalia. These last two are short stories. He is currently completing his undergraduate studies at Kenyatta University.
Also in
General Fiction
Elizabeth Spencer: Novels & Stories (Loa #344): The Voice at the Back Door / The Light in the Piazza / Knights and Dragons / Stories
Spencer, Elizabeth
Hardcover
$38.00
Anniversaries, Volume 2: From a Year in the Life of Gesine Cresspahl, April 1968-August 1968
Johnson, Uwe
Paperback
From $14.99
Philip Roth: Novels 1973-1977 (Loa #165): The Great American Novel / My Life as a Man / The Professor of Desire
Roth, Philip
Hardcover
From $17.99
Selected Writings: Robert Musil: Young Torless, Three Women, the Perfecting of a Love, and Other Writings
Agee, Joel
Musil, Robert
Paperback
$79.43
Before Gatsby: The First Twenty-Six Stories
Bruccoli, Matthew J.
Baughman, Judith
Fitzgerald, F. Scott
Paperback
$50.74
