• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Kiraka Cha Ukombozi

Kiraka Cha Ukombozi

Paperback

General Fiction

ISBN13: 9798618428774
Publisher: Independently Published
Published: Feb 27 2020
Pages: 84
Weight: 0.27
Height: 0.17 Width: 6.00 Depth: 9.00
Language: Afrikaans
Uongozi mzuri hutendea watu haki. MFUTA KAULI-kiongozi mkuu wa nchi ya Ukiwa ambaye hujinasibu kuwapenda watu anaowaongoza, tena husema mara kwa mara kuwa anawatendea haki. Mara kadhaa ameshirikiana na wawekezaji wezi kuwanyang'anya mashamba yao. Wananchi Wengi wa nchi ya Ukiwa ni watu wasio na elimu- ni watu wenye Ukiwa wa elimu na ufahamu. Katikati ya hayo yote anaibuka kijana aitwaye KIRAKA, anadhamiria kuikomboa jamii hii kutoka kwenye unyanyasaji wa MFUTA KAULI.

Ujasiri wake katika kuziba matundu ya unyanyasaji na uonevu katika jamii ya nchi ya Ukiwa unaonyesha maana halisi ya jina lake.Kwa kufanya hivyo anajikuta ametangaza vita dhidi ya MFUTA KAULI. Maisha ya Kiraka yanabadilika na kuwa machungu, kila siku anawindwa na askari wa MFUTA KAULI. Watu wachache wanamuita mkombozi ila wengi wanamuona kuwa ni mtu hatari kwa usalama wa nchi ya Ukiwa. Hakati tamaa, anasonga mbele kwa ujasiri mkubwa.

WASIFU WA MWANDISHI.

Also in

General Fiction