• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Fumo Liongo

Fumo Liongo

Paperback

Plays

Currently unavailable to order

ISBN10: 9987871534
ISBN13: 9789987871537
Publisher: Africa Proper Education Network
Published: Mar 31 2026
Pages: 82
Weight: 0.19
Height: 0.17 Width: 5.24 Depth: 7.48
Language: English

Fumo Liongo alikuwa shujaa wa mji wa Pate katika Pwani ya Afrika ya Mashariki aliyeishi kati ya karne ya 9 na 13.

Umaarufu wa Fumo Liongo ulitokana na ushujaa, uzalendo na kipaji chake cha umalenga miongoni mwa watu wa Pate na maeneo ya jirani. Kwa Mfalme Mringwari, ushujaa na umaarufu wa Liongo ni tishio kubwa dhidi ya utawala wake. Kilele cha hofu na chuki dhidi ya Fumo Liongo kinafikiwa pale Liongo anapoliongoza jeshi vitani na kuwashinda Wagala, maadui zao wa jadi. Licha ya kuitetea na kuilinda Pate dhidi ya wavamizi, Liongo hapati pongezi bali shukurani za punda kwani Mfalme Daudi Mringwari anapania aitoe roho yake. Anasema, Nimelifuga joka hili tukutu ndani ya tundu la ufalme wangu ... ila sasa nitaliteketeza kwa moto,

Also from

Kezilahabi, Euphrase

Also in

Plays