• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Vutu n'kuvute

Vutu n'kuvute

Paperback

Historical Fiction

ISBN10: 9976973292
ISBN13: 9789976973297
Publisher: Mkuki na Nyota Publishers
Published: Dec 29 1999
Pages: 252
Weight: 0.53
Height: 0.63 Width: 5.25 Depth: 8.00
Language: Swahili

Shafi Adam Shafi aliyeadika Kasri ya Mwinyi Fuad na Kuli anainua kiwango na hadhi ya fasihi ya Kiswahili katika riwaya hii Vute n' kuvute. Kwanza, kuna ndoa ya Yasmin, motto wa kihindi kwa Bwana Raza, mzee sawa na babu yake. Yasmin anafukuzwa na wazee wake kwa kumwacha Raza. Katika upweke wake anasitiriwa na Mwajuma, shoga yake anayeishi ili kustarehe katika dansa, taarab na pegi za vikali. Yasmin anaingizwa uswahilni. Kuna wive unaopelekea kifo cha Shibab, mume wa pili wa Yasmin. Kuna Denge, Yasmin anampenda lakini hapedeki. Kwa Denge ni mapambano na ukoloni tu na makachero wake. Hii ni Vutu n' kuvute ambayo sherti yeye na wenzake waishinde.

Also in

Historical Fiction