• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Sauti Ya Amani

Sauti Ya Amani

Paperback

General Juvenile FictionReligion

Currently unavailable to order

ISBN13: 9798235524613
Publisher: Scarlett Everhart
Published: Jun 15 2026
Pages: 46
Weight: 0.12
Height: 0.11 Width: 5.00 Depth: 8.00
Language: Swahili

Mto Mwangaza unaoza, na siasa za shule zimetawaliwa na ahadi za uongo na rushwa. Amani, kijana mwenye maono, anagombea kiti cha Urais wa Baraza la Wanafunzi kwa lengo moja tu: kuokoa mazingira. Lakini anaadui mkubwa-Juma, mpinzani anayetumia pesa na umaarufu kununua kura.

​Je, ukweli na uadilifu vinaweza kushinda hila na pesa? Katika safari ya kusisimua ya sayansi, imani, na uongozi, Amani anajaribu kubadilisha taka kuwa thamani, na siasa za shule kuwa chachu ya mabadiliko ya kweli.

Also in

General Juvenile Fiction