Punda Alivuruga Bunge (Large Print Edition)
Paperback
ISBN13: 9789966828705
Publisher: Kilele Publications & Productions Ltd.
Published: Aug 15 2024
Pages: 112
Weight: 0.27
Height: 0.30 Width: 5.25 Depth: 8.00
Language: Swahili
Punda Alivuruga Bunge ni hadithi ya kusisimua sana kuhusu punda wawili wanaharakati wa kuzitetea haki za wenzao. Wanavitumia vipawa vya kuhamasisha na kuisema lugha ya watu, kuvamia bunge, kuwasilisha malalamiko, na kutishia mgomo wa punda. Vituko vinavyofuata vikiwemo safari za Marekani na Mehiko vinatia nuru, vinachekesha, na vinazua taharuki ya utekaji nyara na ugaidi. Je, mikakati ya ukombozi itazaa matunda au itatibua nyongo?
Kitabu kimegawanywa sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni historia na maendeleo ya maisha yaliyoelekeza uvamizi wa bunge la kitaifa. Sehemu ya pili inafuata punda hao wawili kwenye safari yao Marekani walikojipata kwenye vituko vya kusisimua na vingine vya hatari.
Also from
Mutonya, Mungai
Also in
General Fiction
Elizabeth Spencer: Novels & Stories (Loa #344): The Voice at the Back Door / The Light in the Piazza / Knights and Dragons / Stories
Spencer, Elizabeth
Hardcover
Anniversaries, Volume 2: From a Year in the Life of Gesine Cresspahl, April 1968-August 1968
Johnson, Uwe
Paperback
Philip Roth: Novels 1973-1977 (Loa #165): The Great American Novel / My Life as a Man / The Professor of Desire
Roth, Philip
Hardcover
Selected Writings: Robert Musil: Young Torless, Three Women, the Perfecting of a Love, and Other Writings
Musil, Robert
Agee, Joel
Paperback
Before Gatsby: The First Twenty-Six Stories
Fitzgerald, F. Scott
Bruccoli, Matthew J.
Baughman, Judith
Paperback
