• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Pesa Zako Zinanuka

Pesa Zako Zinanuka

Paperback

Historical Fiction

ISBN10: 9966561579
ISBN13: 9789966561572
Publisher: East African Educ Publ
Published: May 7 1993
Pages: 162
Weight: 0.29
Height: 0.41 Width: 5.00 Depth: 7.00
Language: Swahili

Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, 'No Money Smells', kwamba hakuna pesa zinazonuka. Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai zipo, na zanuka. Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: Umemuua mwanao ... Lazima umle ... Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!

Also in

Historical Fiction