• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Mualkemia

Mualkemia

Paperback

General Fiction

ISBN10: 9966634436
ISBN13: 9789966634436
Publisher: Lightning Source Inc
Published: Jun 24 2023
Pages: 196
Weight: 0.43
Height: 0.42 Width: 5.06 Depth: 7.81
Language: Swahili

Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi.

Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi.

Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasa ri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake?

Also from

Coelho, Paulo

Also in

General Fiction