• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Mlima Kenya Kajifungua

Mlima Kenya Kajifungua

Paperback

General Juvenile Fiction

ISBN10: 9966472231
ISBN13: 9789966472236
Publisher: Phoenix Publishers
Published: Jul 31 2022
Pages: 44
Weight: 0.10
Height: 0.09 Width: 5.00 Depth: 7.00
Language: Swahili

Habari ziliponea kuwa Bi. Mlima Kenya anakaribia kujifungua, mbiu ilipigwa, na wanakijiji pamoja na wanyamapori wote wakakusanyika kushuhudia tokeo hilo mahsusi. Muda si muda wakati ukawadia; akajifungua. Je, ni mwana gani huyo aliyezaliwa? Jisomeeni wenyewe hii hadithi ili mpate kutambua. Na zaidi ya hiyo, kunazo vilevile, hadithi nyingine sita: Karamu Ya Kujialika; Fisi tumboni mwa Tembo, Bidii ni Mali; Mama Mja Mzito na Jitu; Nani Mlaji Zaidi na Urafiki wa Unafiki.

Also from

Kimunyi, Njiru

Also in

General Juvenile Fiction