Endless Love: Upendo Usio Na Kikomo
Paperback
Please select the version of book you would like to purchase.
ISBN10: 998776150X
ISBN13: 9789987761500
Publisher: Lightning Source Inc
Published: May 4 2016
Pages: 280
Weight: 0.83
Height: 0.59 Width: 5.98 Depth: 9.02
Language: Swahili
ISBN13: 9789987761500
Publisher: Lightning Source Inc
Published: May 4 2016
Pages: 280
Weight: 0.83
Height: 0.59 Width: 5.98 Depth: 9.02
Language: Swahili
Inawezekana ukawa umesoma makumi ya vitabu, mamia au hata maelfu, lakini kama hujasoma kile kiitwacho Endles Love/Upendo Usio na kikomo bado una deni. Hiki ni kitabu cha pekee kinachompitisha msomaji katika maisha ya kawaida aliyowahi kupitia, anayopitia au hata yale atakayopitia mbeleni. Kinagusa maisha ya kimwili na yale ya kiroho 'holistic', lakini pia hakimuachi hewani, kila tatizo linapata ufumbuzi unamuwezesha mhusika kuendelea mbele. Kitabu hiki kilichoandikwa na Naomi Mwakanyamale Ng'imba, kina kurasa karibu 300, lakini zinaonekana chache sana unapokisoma kutokana na mtririko wa matukio yenye kugusa hisia za kila mwanadamu. Ni kama maisha halisi yaliyohamishiwa kwenye kurasa za kitabu. Miongoni mwa maajabu ya kitabu hiki ni jinsi kinavyotafsiri nguvu ya ajabu iliyopo katika 'msamaha'. Lakini kikionesha jinsi upendo ulivyo na nguvu kushinda mauti. Mwisho wa kila tukio ni kuuelekeza moyo wa mwanadamu katika kumrejea muumba wake na kuishi maisha ya upendo, badala ya kujitesa kwa kuhesabu maovu ya nyuma. Mmoja wa wanasaikolojia aliyekisoma kitabu cha Endles Love alisema: Endles Love ni chuo cha maisha halisi ya mwanadamu, matukio yake kila mtu yanamgusa, alishayapitia au anayapitia, hakuna namna halisi ya kukichambua kwa uhalisia wake njia bora ni kila mtu kukisoma. Kinafunua siri kuwa maisha bila Mungu ni kama Pweza Jangawani, hata achanganye miguu kiasi gani ataishia kutimua vumbi, haendi popote.
Also in
Romance
That Time I Got Drunk and Yeeted a Love Potion at a Werewolf (Mead Mishaps, Book 2)
Kimberly Lemming
Paperback
$10.99
The Golden Mean: In Which the Extraordinary Correspondence of Griffin & Sabine Concludes
Bantock, Nick
Hardcover
$9.99
The Twelve Loves of Christmas: An Advent Romance Collection
Dade, Olivia
Bellefleur, Alexandria
Bryant, Elise
Paperback
$21.59
The Auction (Deluxe Limited Edition): A Spicy, Dark Romance Novel from a Tiktok Sensation
Kincaid, Sadie
Hardcover
$30.40
