• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Kushindwa Sasa Basi

Kushindwa Sasa Basi

Paperback

General Christianity

ISBN10: 9976997620
ISBN13: 9789976997620
Publisher: Lightning Source Inc
Published: Nov 4 2016
Pages: 190
Weight: 0.58
Height: 0.40 Width: 6.00 Depth: 9.00
Language: Swahili
KUSHINDWA SASA BASI, ni kitabu cha kiroho kilichojaa ufunuo wa ki-ungu kukabiliana na changamoto za duania ya siku za mwisho. Biblia inasema kadiri ule mwisho unavyokaribia mioyo ya watu wengi inazimia kwa kutarajia mambo yatakayoupata ulimwengu. Tayari mambo ya kutisha na kukatisha tamaa yameshaanza kuupata ulimwengu na watu wengu wamevunjika moyo kuanzia majumbani handi katika kazi zao. Tunaona ndoa zinayumba kuliko wakati wowote katika historia ya binadamu, pesa sio jibu tena la maisha ya mwanadamu, kadiri binadamu anavyofukuza fedha ndivyo fedha inavvyozidi kumletea machungu na matatizo mengi. KIbabu hiki kimekuja muda muafaka kujibu maswali yako ya maisha na kukuhakikishia ushindi katika kila mtego wa maisha. NAKUKARIBISHA UNAPOSOMA.

Also in

General Christianity