• Open Daily: 10am - 10pm
    Alley-side Pickup: 10am - 7pm

    3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
    612-822-4611

Open Daily: 10am - 10pm | Alley-side Pickup: 10am - 7pm
3038 Hennepin Ave Minneapolis, MN
612-822-4611
Kiini Cha Maisha: Kielelezo Cha Mafunzo Bora

Kiini Cha Maisha: Kielelezo Cha Mafunzo Bora

Paperback

Christian Living

ISBN10: 1619930838
ISBN13: 9781619930834
Publisher: Lightning Source Inc
Published: Nov 21 2017
Pages: 272
Weight: 0.81
Height: 0.57 Width: 5.98 Depth: 9.02
Language: English
Gundua njia ya urejesho wa nguvu ya kanisa! Kiini cha maisha kinatambua sababu kadhaa zinazoleta kutokua katika kanisa la Kristo na pia kinapendekeza suluhisho madhubuti ya jinsi ya kuleta pamoja uhai wa Mungu katika moyo wa kanisa kupitia uongozi bora na mafundisho. Mafundisho kabambe yanaanza wakati maono ya Bwana, kazi yake, na kanisa yanafanywa kwa njia ambayo watu wa Mungu wanatiwa nguvu na Roho kufanya mapenzi yake.Watu wa Mungu wanapaswa kusisitiza kuwa makanisa, mikutano, mashule na viongozi wafundishe ukweli wa Mungu kwa njia inayoleta mabadiliko na kutia nguvu.

Also in

Christian Living